Wilaya ya Toumodi
Mandhari
Wilaya ya Toumodi | |
Eneo la Wilaya ya Toumodi. | |
Nchi | Cote d'Ivoire |
---|---|
Jimbo | Lacs |
Mkoa | Bélier |
Serikali[1] | |
- Prefect | Gando Coulibaly |
Idadi ya wakazi (2014) | |
- Wakazi kwa ujumla | 127,825 |
GMT | (UTC+0) |
Wilaya ya Toumodi (kwa Kifaransa: département de Toumodi) ni moja kati ya Wilaya nne za Mkoa wa Bélier ulioko kitovu mwa Cote d'Ivoire.
Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa 127,825.
Makao makuu ya eneo hilo ni Toumodi.
Wilaya ya Toumodi sasa imegawanywa katika tarafa zifuatazo:
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Préfets de Région et de Préfets de Département (Conseil des ministres du mercredi 26 septembre 2012)", abidjan.net, 2 October 2012.
Makala hii kuhusu maeneo ya Cote d'Ivoire bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Toumodi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |